Carousel

Breaking News

LISHE BORA KWA MTU MWENYE HYPERTENSION( MSUKUMO WA DAMU KUWA MKUBWA)




 MAANA
Ni ugonjwa unaosababishwa na msukumo wa damu kubwa mkubwa katika mirija ya kupitishia damu ambayo kitaalamu tunaiita arteli ambayo inaleta athali katika mwili kama magonjwa ya moyo kitaalamu tunaita heart disease.

KISABABISHI
  • Unywaji wa pombe kwa wingi
  • kutumia madawa bila mpangilio maalum
  • matatizo ya figo
  • ulaji wa vyakula vyenye mafuta sana
  • Matumizi ya chumvi kuwa wingi
  •  ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi
  • kuongezeka uzito kwa wingi  



HUPO KATIKA HATARI YA KUPATA HYPERTENSION NIKIWA NA MAANA MSUKUMO WA  DAMU KUWA KUBWA KUKULETEA MATATIZO YA MOYO

  • Wazee 
  • ukiwa na uzito mkubwa kitaalamu tunaita obesity
  •  kutokufanya mazoezi kwa wingi 
  • msongo wa mawazo
  • kuvuta sigara kwa wingi
UFANYE NINI KUEPUKANA NA HYPERTENSION
  •  Kuacha unywaji wa pombe 
  • usinywe dawa kama ujaambiwa na daktari
  • kuacha ulaji wa vyakula vyenye mafuta kwa wingi
  • kupunguza kula chakula chenye chumvi nyingi
  • ulaji wa nyama nyeupe
  • kuepuka msongo wa mawazo



LISHE BORA KWA MTU MWENYE HYPERTENSION

  • kuachana na vyakula nyenye mafuta sana na kupendelea vyakula ambavyo utumii mafuta mengi hasa vya kuchemsha
  • pendelea kula nyama nyeupe kama ya samaki na kuku epuka sana nyama nyekundu kama ya ngombe na kadhalika
  • kufanya mazoezi kidogo kwa siku sio mpaka uende gym hata kukimbia na kutembea nayo ni mazoezi sio mda wote unapanda tu usafiri hata umbali ukiwa mdogo
  • kupendelea sana kula mboga za majani na maji kwa wingi
  • kupendelea vyakula ambavyo havina chumvi nyingi sana kama inawezekana ni vizuri akipikiwa chakula chake mwenyewe asichanganywe na watu wengine katika familia


No comments