Carousel

Breaking News

HUDUMA YA KWANZA KWA MTOTO ZAIDI YA MWAKA WA MMOJA ALIYEKABWA(CHOCKING)


 Image result for BABY CHOKING


 Kama mtoto amekabwa na hawezi kulia wala kukohoa jaribu kuzibua koo lake kwa kumpa makofi mepesi yenye mkazo mgongoni na mibinyo ya kifuani

Mweke mtoto inavyopasa
Mkamate mtoto uso wake ukiangalia chini na sehemu ya kichwa ikiwa chini kidogo kuliko mwili wake mwingine

Mpe makofi mepesi yenye mkazo mgongoni
Tumia shina la kiganja chako kumpa makofi matano mepesi yenye mkazo kati ya mifupa jembe mabegani
kama mtoto hataanza kupumua mgeuze aangalie juu


 Mmbinye kifuani
Weka vidole viwili au vitatukatikati kifuani chini kidogo ya chuchu binya kifuani kwa mkazo kiasi harakaharaka angalau kufika sentimita mbili binya angalau mara 5 au mpaka mtoto atakapoanza kupumua

No comments