KIASI GANI CHA MAJI UNAPASWA KUNYWA KWA SIKU KULINGANA NA UZITO WAKO
Kama tunavyojua maji ni uhai maji yakinywewa kwa nidhamu na ukizingatia uzito mtu aliokuwa nao tunaweza kukwepa asilimia 60 ya maradhi mbalimbali.
MUDA GAN SAHIHI KUNYWA MAJI
- Mara tu unapoamka asubuhi
- Nusu saa au dakika 45 kabla ya chakula cha mchana au jioni
- Na mda uliobaki kunywa kiasi kwa kipindi fulani cha muda
- Yanywe maji ukiwa umekaa kidogo kidogo
- Usinywe maji baada au wakati wa kula ijulikane maji na chakula vitu viwili tofauti ambavyo mwili unaihitaji lakini sio kwa mkupuo ukifanya ivi maji yanaharibu baadhi ya virutubisho vilivyopo kwenye chakula
- Usinywe maji mengi kwa wakati mmoja ili kufika kiwango cha siku kinachotakiwa
- Hakkikisha inapofika saa12 unakuwa ushafika katika kiwango cha mwisho kinachotakiwa kwa siku usinywe maji mengi zaidi ya muda itakuharibia usingizi usiku.
Angalia kwenye picha aliyoambatanihwa hapo chini kiasi cha maji kinachotakiwa kulingana na uzito wako
No comments