Carousel

Breaking News

SUMU YA WAZEE IPO KWENYE POMBE NA LISHE DUNI



Si vyema kwa wazee kuendekeza pombe kutokana na kinga zinazozalishwa mwilini ni ndogo na unywaji una kawaida ya kuendelea kuwachosha hapo ndo unakaribisha maradhi kama ya figo na bandama.
Uwezo wa kufanya kazi  unakuwa mdogo ndani ya mwili hata uwezo wa mapafu kupanuka unakuwa mdogo ni rahisi kwa magonjwa mengi kulipuka hasa wazee wanaovuta sigara au bangi wanaweza kupata magonjwa kama ya kifua kikuu
Kutokna na kinga yao kuwa ndogo inaweza kusababisha magonjwa na kupona kunakuwa kugumu kwa sababu ya umri wao
ili afya ya wazee kuimarika anapaswa kufanya mazoezi ya viungo husaidia kuondolea mwili uchovu

  • Hapaswi kuwa na msongo wa mawazo
  • Wazee wanaweza kula matunda ambayo yanapatikana  mazingira anayoishi
  • kula vyakula vyenye virutubisho vingi
  • Anaweza kula mboga za majani
Itaendelea...........!!!!


No comments