Carousel

Breaking News

HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEKABWA(CHOCKING)

Mtu aliyekabwa ambaye hawezi kukohoa au kuongea pia hawezi kupumua inaweza kumponya maisha yake kwa kumsaidia  haraka.
Mpige makofi mgongoni

 

Mwinamishe kwa kumpinda eneo la nyonga na kupiga makofi ya kushindilia 5 katikati mgongoni kati mifupajembe ya mabegani tumia kiganja cha mikono yako.









No comments