JIFUNZE KUZUNGUMZA NA MTOTO
Maana mtoto ana uwezo wa kuanza kusikia toka akiwa tumboni mwa mama yake miezi
sita baada ya ujauzito kutungwa.na jua mtoto anazaliwa akiwa ana uwezo wa
kuwasiliana japo hataweza kuongea kwa umri huo.lakini ukimuongelesha na kumpa
misamiati mingi unamsaidia kuwa na mafanikio ya kielimu na kimaisha pia.
Asilimia 80% ya ubongo wa mtoto hukomaa afikishapo miaka 6. Hivyo basi ni vyema kumlisha mtoto lishe njema miaka mitatu ya kuzaliwa kwake toka akiwa tumboni hadi anakuwa , na hasa mwaka wake wa kwanza mlishe mtoto maziwa na mlishe ubongo maneno mengi na sentensi nyingi.
Kumbuka kuzungumza na mtoto ni hakuna gharama ni bure lakini matokeo lukuki unayomuandalia mwanao.
na mpeleke mtoto wa miaka mitatu mpaka miaka 5 vituo vya kulelea watoto mchana apate elimu na kucheza akiwa salama na chini ya usimamizi sahihi wa umri wake kitaalamu.

No comments